1 Sep 2026 10:43 am | Citizen TV 422 views Duration: 1:38 Wakaazi wa Mji wa Meru Wamehimizwa kutafuta njia Mbadala za kuhifadhi Maji nyumbani, kutokana na uhaba wa Maji unaosababishwa na ukame ambao umeathiri mito na chemichemi za Maji yanayotumika Mjini Meru.