- 1,233 viewsDuration: 3:37Watu elfu ishirini na mbili ambao wamekuwa wakiangaishwa na uhaba wa maji katika maeneo ya Kalawa Mbooni mashariki kaunti ya Makueni wamepata afueni baada ya kukamilika kwa mradi mkubwa wa maji. Mradi huo uliotekelezwa na shirika la world vision kwa ushirikiano na serikali ya Makueni umegharimu takriban shilingi milioni 450.