Takriban wakazi 500 wa Kapkonoin katika eneo bunge la Emgwen, kaunti ya Nandi, wamefanya maandamano hii leo wakilalamikia kusitishwa kwa ujenzi wa barabara ya mtaa wakidai kuwa hatua hii imechangiwa na ushawishi mkubwa kutoka kwa mabwenyenye wa eneo hilo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya