Skip to main content
Skip to main content

Wakazi Elgeyo Marakwet wataka taarifa za mapema kuhusu El Niño

  • | Citizen TV
    280 views
    Duration: 2:13
    Wakazi wa Elgeyo Marakwet wameitaka serikali kutoa taarifa za mapema kuhusu El Niño ili kuwawezesha kujiandaa. Baadhi ya maeneo ya kaunti hiyo huathiriwa na mvua kubwa.