27 Aug 2026 1:47 pm | Citizen TV 684 views Duration: 2:03 Wakazi wa kijiji cha Kihurure katika Wadi ya Kaimbaga, eneo mbunge la Ol-Kalou, wamelalamikia kisima cha maji ambacho hakifanyi kazi, licha ya kuchimbwa zaidi ya miaka 15 iliyopita.