24 Aug 2026 10:38 am | Citizen TV 215 views Duration: 1:22 Wakazi wa kijiji cha Manyatta Gidha eneo bunge la Saku kaunti ya marsabit wamelalamikia serikali kuu na ile ya kaunti kwa kushindwa kujenga miundomsingi kama barabara .