20 Aug 2026 1:45 pm | Citizen TV 417 views Duration: 4:16 Huku idara ya utabiri wa hali ya hewa ikitoa taarifa kuhusu mvua kubwa ya elnino inayotarajiwa miezi ya oktoba na desemba, wenyeji wa kijiji cha Nanjekho kaunti ya Busia wameanza kujiandaa kukabiliana na athari za mvua hiyo.