- 418 viewsDuration: 1:56Wakaazi wa Pumwani kule Magarini kaunti ya Kilifi sasa wamejitokeza na kupinga vikali mpango wa Idara ya ardhi nchini NLC wa kupima ardhi yao kwa njia ya makaazi kwa misingi kuwa imekuwa na historia ya kuzua utata mwingi wa ardhi hapo awali.