- 10,030 viewsDuration: 2:58Wakazi wa kaunti ya Vihiga wametoa wito kwa wizara ya afya kuleta huduma za matibabu ya sumu ya nyoka karibu nao. aidha wakazi hao wanalalamikia ukosefu wa dawa zinazotumika kutibu majeraha ya waliong'atwa na nyoka. wakazi wanalazimika kugharamika ili kufika hospitalini, huku visa 93 vya waliong'atwa na nyoka vikiripotiwa katika siku za karibuni.