Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Bureti kaunti ya Kericho wataka serikali isitishe mgomo wa maafisa tabibu

  • | Citizen TV
    699 views
    Duration: 2:18
    Wakazi wa Bureti katika kaunti ya Kericho wanaiomba serikali kuingilia kati mgomo wa maafisa wa kliniki, ambao umeingia siku ya 6. Wakisema huduma zimesitishwa katika hospitali ya Kapkatet, hospitali kubwa baada ya ile ya Kericho Level 5. Wagonjwa wakilalama kuwa wanashuhudia madhila makubwa, na kuitaka serikali kuanzisha mazungumzo na maafisa hao ili kuupata suluhisho mara moja.