- 432 viewsDuration: 3:56Wakazi wa kaunti ya Busia wameonywa dhidi ya kuuza mahindi kwa bei ya chini kwa mawakala. Viongozi wa serikali wamewashauri wakazi kutumia chakula chao vizuri kwani ukosefu wa mvua umesababisha uhaba mkubwa wa zao la mahindi .