Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Diani wataka serikali kuzuia wawekezaji kujenga hadi migogoro ya ardhi itatuliwe

  • | Citizen TV
    341 views
    Duration: 1:54
    Wakaazi wa vijiji vya Mwaroni, Chidze na Mwakamba katika eneo la Diani wameitaka serikali kuzuia wawekezaji kujenga mijengo mapya katika ardhi zilizo wazi katika maeneo hayo hadi migogoro ya dhuluma za kihistoria za ardhi itakapopatiwa suluhu.