31 Aug 2026 1:54 pm | Citizen TV 818 views Duration: 2:00 Wakazi wa Igembe Kaskazini, Kaunti ya Meru Wamelalamikia hatua ya mkandarasi wa ujenzi wa barabara ya Isiolo -Kutulo-Mandera ya kutotekeleza miradi ya uwajibikaji ya kijamii kama walivyoahidiwa.