Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Isebania walalamikia dampo la takataka karibu na makazi

  • | Citizen TV
    293 views
    Duration: 2:10
    Wakaazi wa eneo la Isibania walalamikia serikali kwa kuweka eneo la kutupwa taka karibu na makazi yao wakisema hatua hiyo imekuwa tishio kwa afya na mazingira yao.