Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kajiado ya Kati wavami­a kituo cha polisi kupinga ongezeko la mauaji

  • | Citizen TV
    5,757 views
    Duration: 2:53
    Kizaazaa kilishuhudiwa Kajiado ya Kati hii leo baada ya wakazi kuvamia kituo cha polisi kulalamikia utepetevu wa maafisa kukabiliana na ongezeko la mauaji eneo hilo. Maandamano haya yalisababishwa na shambulizi la punde ambapo mwanaume aliwadunga kisu wanawake wawili na kumuua mmoja huku mwingine akiachwa na majeraha.