19 Oct 2026 10:59 am | Citizen TV 612 views Duration: 2:01 Wakazi wa Kishushe eneo bunge la Wundanyi kaunti ya Taita Taveta sasa wanaitaka serikali kuu kusitisha zoezi la upimaji wa shamba la Kishushe B wakisema baadhi ya wanasiasa wamejipatia ardhi kinyume cha sheria.