Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Lolukuta Wajir wataka hatua dhidi ya maaafisa wa usalama wanaodaiwa kuharibu mali yao

  • | Citizen TV
    1,993 views
    Duration: 1:48
    Wakazi wa eneo la Lolukuta huko Hadado, kaunti ndogo ya Wajir Magharibi, wanaitaka serikali kuwachukuia hatua maafisa wa usalama wanaodaiwa kuharibu nyumba zao pamoja na chakula na maji.