Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Meru wataka uchunguzi wa mapema wa saratani vijijini

  • | Citizen TV
    207 views
    Duration: 1:38
    Wakazi wa kaunti ya Meru hasa kutoka vijijini wameitaka serikali kuwasaidia kwa uchunguzi wa mapema wa dalili za saratani, ugonjwa ambao umekithiri katika maeneo mengi ya kaunti hiyo.