Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Mombasa wahofia mafuriko ya El Niño

  • | Citizen TV
    6,986 views
    Duration: 3:52
    Baadhi ya wakazi wa kaunti ya mombasa wanaishi kwa hofu ya mafuriko yatakayosababishwa na mvua ya el nino. kulingana nao, kaunti yaijajiandaa vyema kukabiliana an athari za mvua hiyo ambayo tayari imeanza kunyesha.