5 Aug 2026 1:22 pm | Citizen TV 519 views Duration: 1:52 Wakaazi wa Nkabune, Imenti Kaskazini Kaunti ya Meru wamefanya maandamano kulalamikia kudorora kwa chuo cha anwai cha Nkabune, haki ambayo imeathiri shughuli za biashara karibu na shule hiyo.