- 147 viewsDuration: 2:58Viongozi na wakazi katika mpaka wa kaunti za Pokot Magharibi na Turkana wanaadhimisha mwanzo mpya wa amani katika eneo ambalo awali lilikumbwa na ujangili na migogoro ya mara kwa mara iliyosababisha vifo. Jamii ambazo hapo awali ziliishi kwa hofu sasa zinatoa wito wa umoja na amani ya kudumu huku zikifurahia manufaa ya utulivu na usalama. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive