26 Oct 2026 10:31 am | Citizen TV 868 views Duration: 2:06 Wakazi wa Pwani wamelitaka bunge la kitaifa kukataa mipango ya kuvunjwa kwa Mamlaka ya Maendeleo ya Pwani (CDA), wakisema kuwa eneo hilo linahitaji uratibu imara wa maendeleo ya kikanda.