16 Sep 2026 2:13 pm | Citizen TV 21 views Maelfu ya wakazi wa Runyenjes, kaunti ya Embu, wamefaidika na kliniki ya huduma mbalimbali za bila malipo, iliyowaletea huduma za matibabu, kisheria na kilimo karibu na jamii.