Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Singiraine wakabiliwa na uhaba wa maji baada ya kufungwa kwa kampuni ya Tata

  • | Citizen TV
    2,290 views
    Duration: 3:09
    Wakazi wa eneo la Singiraine kaunti ya Kajiado wamehangaikia uhaba wa maji kwa muda sasa, huku masaibu yao yakizidishwa na kufungwa kwa kampuni ya madini ya Tata. Wakazi hawa sasa wanakosa huduma za karibu za maji na kulazimika kutembea muda mrefu kutafuta maji ya matumizi.