10 Jun 2026 1:21 pm | Citizen TV 3,154 views Duration: 3:19 Wakazi wa kijiji cha Siyu Kisiwa cha Pate eneo bunge la Lamu Mashariki kaunti ya Lamu wamekashifu vikali tukio la watu Zaidi ya 30 kuvamiwa na kupigwa na maafisa wa usalama . Rahma Rashid anaarifu Zaidi