4 Sep 2025 10:41 am | Citizen TV 132 views Duration: 2:01 Wananchi kutoka pande za Sosoma Eneo bunge la Mwingi ya kati wana sababu ya kutabasamu baada ya serikali ya Kitui kufungua hospitali ambayo ilikwama kwa muda wa miaka 12.