Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Vihiga wahimizwa kushirikiana na vyombo vya usalama

  • | Citizen TV
    408 views
    Duration: 2:04
    Wakazi wa vihiga wametakiwa kushirikiana na vyombo vya usalama kwa kutoa taarifa muhimu ili kufanikisha juhudi za kuimarisha usalama kutokana ongezeko la visa vya ukosefu wa usalama.