Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Wachiir kaunti ya Wajir wakabiliwa na uhaba wa chakula na maji kutokana na ukame

  • | Citizen TV
    558 views
    Duration: 2:18
    Wakazi wa Wachiir, kaunti ya Wajir, wanakabiliwa na athari za ukame, ikiwemo uhaba wa chakula, kupungua kwa mifugo na ukosefu wa maji safi, huku kukiwa na hofu ya mvua ya El Niño.