Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wakimbia makazi Samburu wakidai kushambuliwa na polisi

  • | Citizen TV
    15,826 views
    Duration: 2:43
    Wakazi wa Losesia kaunti ya samburu wanalalamikia kile wanadai ni kuuawa kwa mifugo wao na maafisa wa usalama wanaoendeleza oparesheni ya kukabiliana na wahalifu wanaoiba mifugo. Wakazi wengi waliotoroka kwao kutokana na mashambulizi ya hivi punde wanasema wako tayari kushirikiana na polisi kukabili hali hii huku wakitaka kuhakikishiwa usalama wao na mifugo wao.