21 Sep 2026 10:46 am | Citizen TV 424 views Duration: 1:11 Serikali imewataka wakazi wa eneo la Budalangi kaunti ya Busia kuanza kuchukua tahadhari na kujiandaa ipasavyo kukabiliana na athari hasi za mvua ya El Niño.