Skip to main content
Skip to main content

Wakenya wasema 2025 ulikuwa mwaka mgumu zaidi

  • | Citizen TV
    243 views
    Duration: 1:56
    Zaidi ya asilimia 80 ya wakenya hawana jema lililowafanyikia mwaka huu wa 2025 wakitaja mahangaiko yaliyosababishwa na gharama ya juu ya maisha. Aidha ufisadi, ushuru wa juu na sera za serikali zikitajwa kama sababu kuu ya mahangaiko yao. Haya ni kulingana na utafiti wa punde zaidi wa kampuni ya infotrak uliofanywa mwezi huu.