Skip to main content
Skip to main content

Wakenya zaidi warejea kutoka Afrika Kusini

  • | Citizen TV
    1,816 views
    Duration: 2:42
    Wakenya 422 tayari wamewasili nchini kutoka Afrika Kusini kufuatia msukosuko unaoendelea nchini humo, huku wengine 50 wakitarajiwa kuwasili jioni ya leo. Baadhi ya Wakenya 80 waliowasili hivi karibuni wamesimulia namna walivyookolewa kutoka kwenye mazingira hatari baada ya kuishi Afrika Kusini kwa miaka mingi. Serikali imesema zoezi la kuwarejesha Wakenya waliokwama linaendelea, huku ikihakikisha usalama wao hadi watakapowasili nchini.