7 Sep 2026 10:59 am | Citizen TV 529 views Duration: 2:23 Wakfu wa Mwadumbo umezindua mpango wa kutambua na kukuza vipaji miongoni mwa vijana katika Kaunti ya Kwale. Vijana pia wamefundishwa mbinu za kutumia mtandao kutafuta fursa za ajira na kujiajiri.