27 Jul 2026 10:40 am | Citizen TV 205 views Duration: 1:54 Wakfu wa Safaricom umekamilisha na kuzindua mradi wa shilingi milioni 17 katika Shule ya Msingi ya DEB Oloitokitok, kaunti ya Kajiado.