21 Aug 2026 7:39 pm | Citizen TV 3,634 views Duration: 1:48 Wakili Angela Mulwa amefikishwa katika Mahakama ya Milimani baada ya kukamatwa tena Alhamisi jioni, muda mfupi baada ya kuachiliwa kwa dhamana ya Shillingi milioni moja.