Skip to main content
Skip to main content

Wakimbizi wa Kakuma walalamikia kucheleweshwa kwa stakabadhi za usafiri

  • | Citizen TV
    300 views
    Duration: 3:17
    Wakimbizi katika kambi la Kakuma wameelezea wasiwasi wao kuhusu kucheleweshwa kwa stakabadhi za usafiri, wakisema hali hiyo imewafanya wengi kukosa fursa za ufadhili wa masomo na safari za masomo au kazi nje ya nchi. Kauli hiyo ilitolewa wakati wa mkutano ulioandaliwa na LLEARN kujadili changamoto zinazowakabili wakimbizi na suluhu zinazoweza kutolewa na serikali pamoja na wadau wengine.