31 Aug 2026 10:49 am | Citizen TV 497 views Duration: 1:53 Wakufunzi wa mpango wa NYOTA katika eneo la Chesikaki, Mlima Elgon kaunti ya bungoma, wametishia kusitisha mafunzo kutokana na kucheleweshwa kwa malipo na changamoto za utekelezaji wa mpango huo.