9 Sep 2026 1:49 pm | Citizen TV 327 views Duration: 2:37 Wakulima Machakos wamefundishwa namna ya kulinda data zao dhidi ya matumizi mabaya. Wasiwasi umeibuliwa kuwa baadhi ya walaghai hutumia taarifa za wakulima vibaya.