14 Oct 2026 10:28 am | Citizen TV 275 views Duration: 1:53 Wakulima na wafugaji katika kaunti za Garissa na Tana River wataendelea kupokea taarifa za hali ya hewa na kujiandaa vilivyo ili kuhepuka majanga yanayotokana na athari za ukame na mafuriko.