- 5,385 viewsDuration: 3:54Mabadiliko ya hali ya hewa yanaendelea kuvuruga shughuli za uvuvi kando ya Mto Tana, hali ambayo sasa imewafanya wakulima katika Kaunti ya Tana River kugeukia ufugaji wa samaki kwenye mashamba yao. Wakulima wanatumia vidimbwi vya udongo ambavyo vinachimbwa ardhini na kutengenezwa kwa njia maalum ili kuhifadhi maji na kuwezesha ufugaji wa samaki katika mazingira yanayodhibitiwa