13 Oct 2026 10:18 am | Citizen TV 877 views Duration: 1:42 wakulima wa chai wa Kiwanda cha Chai cha Litein waliandamana kupinga bonasi ya shilingi 18 iliyotangazwa na mamlaka ya ustawi wa chai nchini KTDA.