- 230 viewsDuration: 1:27Wakulima wa chai katika Kaunti ya Murang’a wamepinga pendekezo la kutoza ushuru wa asilimia 0.8 kwa mapato yao, kama ilivyopendekezwa katika Mswada wa Chai. Wameeleza kuwa ushuru huo utakuwa mzigo wa ziada kwa wakulima ambao tayari wanakabiliwa na changamoto nyingi katika sekta hiyo.