- 459 viewsDuration: 1:37Wakulima wa kahawa kutoka kaunti kumi na Moja humu nchini wametishia kutoa huduma za mauzo ya kahawa kutoka soko la Nairobi (NCE) iwapo serikali itaendelea na mpango wa malipo ya Moja kwa Moja ya DSS Wakulima hawa wakilalamikia kuwa malipo kwa njia ya simu yanawapunja. Wakulima hao walio wanachama wa vyama vyaa Ushirika vya Wakulima humu nchini wa Kahawa waliandamana barabarani kutoka mahakama kuu ya Kerugoya hadi eneo la Kaitheri wakihimiza serikali kutupilia mbali mpango wa DSS .