Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa miwa kaunti ya Homa Bay wasihutumu serikali kwa kukosa kudhibiti sukari ya magendo

  • | Citizen TV
    203 views
    Duration: 2:31
    Wakulima wa miwa kutoka ukanda wa magharibi wasihutumu serikali kwa kukosa kudhibiti sukari ya magendo wanayosema imeathiri uuzaji wa miwa. Katika kaunti ya Homa Bay miwa yaharibikia shambani kutokana na ukosefu wa soko huku wakulima kutoka kaunti ya Busia wakitishia kung'oa mmea huo. Baadhi ya viwanda vyabaini kuwa vimeshindwa kuuza sukari kutokana na sukari ya magendo ambayo inauzwa kwa bei ya chini.