Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wahimizwa kutumia dawa zilizoidhinishwa na PCPB

  • | Citizen TV
    160 views
    Duration: 1:58
    Wakulima wametakiwa kutumia dawa za kunyunyuzia mimea zilizoidhinishwa na bodi ya dawa za mimea nchini PCPB. akizungumza na wakulima huko Mwea kaunti ya Kirinyaga, meneja wa usawa wa bidhaa wa bodi hiyo Lawrence Kalawa, alisema wamefanikiwa kunasa tani 1.5 za dawa ghushi za kunyunyuzia mimea katika mipaka ya Kenya huku kesi 80 zikifikishwa kortini kuanzia mwaka jana.