- 251 viewsDuration: 2:32Wakulima katika maeneo ya Ukambani wamepewa mafunzo kuhusu jinsi ya kulinda data zao mtandaoni kufuatia kuongezeka kwa matumizi ya teknolojia za kidijitali katika sekta ya kilimo. Mafunzo hayo yamekuja baada ya kubainika kuwa baadhi ya taarifa za kilimo zimekuwa zikitumiwa vibaya, jambo linalozua wasiwasi kuhusu usalama na faragha ya data za wakulima.