13 Oct 2026 10:31 am | Citizen TV 302 views Duration: 1:22 Wakuu wa shule na wadau wengine wa elimu wakiwemo mahasibu na waweka hazina wanataka serikali iweke miundombinu bora shuleni kabla ya kuanzisha mfumo wa Ununuzi wa Serikali kwa njia ya Kielektroniki..