14 Oct 2026 10:19 am | Citizen TV 369 views Duration: 1:39 Waalimu wakuu wa shule za upili eneo bunge la Wundanyi kaunti ya Taita Taveta wameelezea changamoto wanazopitia muhula wa tatu kutokana na ukosefu wa fedha shuleni.