23 Sep 2026 10:39 am | Citizen TV 361 views Duration: 1:38 Viongozi wa KNUT tawi la Makueni wamefanya maamdamanano wakitaka kuhamishwa kwa mkurugenzi wa elimu wa kaunti hiyo Lydia Mutegi kwa madai ya utumizi mbaya wa ofisi .