- 375 viewsDuration: 3:14Walimu wa shule za sekondari msingi huko Mombasa wanaendelea kufanya maandamano wakishinikiza kupewa ajira ya kudumu. Walimu hao sasa wanatishia kususia kazi endapo serikali itaendelea kuwapuuza licha ya agizo la mahakama lililofutilia mbali mfumo wa uanagenzi. Na kama anavyoarifu Francis Mtalaki, Tume ya Walimu (TSC) imesema iko mbioni kuhakikisha walimu hao wameajiriwa huku ikiwataka kuwa na subira.